Sign-up For FREE Daily Jobs Via Email

Thursday, July 28, 2011

TANGAZO LA KURIPOTI KATIKA VITUO VYA KAZI (WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII)


Published by Jobstanzania on Thursday, July 28, 2011

TANGAZO LA KURIPOTI KATIKA VITUO VYA KAZI


KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII, ANAWATANGAZIA WAOMBAJI KAZI WA KADA MBALIMBALI ZA AFYA KUWA WANATAKIWA KWENDA KURIPOTI KATIKA VITUO VYA KAZI WALIVYOPANGIWA MARA WASIKIAPO TANGAZO HILI.


BARUA ZA KUPANGIWA VITUO VYA KAZI ZIMETUMWA KWA WAAJIRI WOTE NCHINI. AIDHA WAAJIRI WOTE MNATAKIWA KUWAPOKEA NA KUWAAJIRI KWA UTARATIBU ULIOPO KATIKA UTUMISHI WA UMMA BAADA YA KUHAKIKI VYETI VYAO.


ENDAPO WAAJIRI MTAHITAJI KUJIRIDHISHA NA MAJINA YA WAHUSIKA MNATAKIWA KUWASILIANA NA WIZARA. AIDHA, MAJINA YA WALIOPANGIWA VITUO VYA KAZI PIA YANAPATIKANA KATIKA TOVUTI YA WIZARA  MAJINA YA WALIPANGIWA VITUO VYA KAZI NI KAMA IFUATAVYO:-BOFYA HAPA KUSOMA MAJINA

7 comments:

 1. ilo tangazo la kuripoti vituoni...linatuhusu na sis wahitimu wa mafunzo ya afya tulio maliza mwaka jana septemba

  ReplyDelete
  Replies
  1. Swali zuri aisee...! Au na sisi inabidi tuombe!?

   Delete
 2. Mbona hiyo page yenye majina haipatikani...!?

  ReplyDelete
 3. UNAOMBA MAJIBU MAANA MAJINA HAYAONEKANI

  ReplyDelete
 4. Je tangazo hili linawahusu waliotuma maombi toka 2012?

  ReplyDelete
 5. An exam where you know what the questions will be. Just keep practising your answers and example and you will be fine. Make sure you revise your answers and get some one to give you a practice run before you attend. So here are the ten most order essay online common interview questions.

  ReplyDelete

 
Sign-up For FREE Jobs Via Email